Poleni kwa msiba ndugu zanguni wa Mbeya. Mungu aepushe hizi ajali za kila siku jamani. Tutaendelea kuwapoteza ndugu zetu kila siku hadi lini? Maana nyingi unakuta ni uzembe wa madereva wote au mmoja wao.
Duh!poleni wafiwa,sijui ndo mwendelezo wa ile laana ya kuiba hadi sanda ya maiti katika ile ajali ya msafara wa mazishi uliokuwa ukielekea sumbawanga?!.