mwanakidagu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 208
- 78
tank la mafuta limeanguka mlimani sekenke.jimbo la mwigulu nchemba.
Foleni ya magari ni ndefu.pia harakati za kuchota mafuta inaendelea.
Yeyote atakayesoma huu uzi amjujishe kamanda wa mkoa wa singida kamanda celina.kuwa janga la kibinadamu ninanukia. Alete kikosi ffu.kunusuru hali.
Kumbukeni tank hili likilipuka lita lipua magari yote .pamoja na umauti kuwapata watu wote,na wengine vilema vya maisha.
.rejeeni ajali kama hii iyotokea manyoni mkoani singida. Na ya huko mbeya. Wengi walipoteza maisha.
aiseeeeee babaangu ningekwepo eneo la tokio ningeenda kuchomowa betri,,betri la scania ni kati ya laki 3 au 4
kawaida yenuaiseeeeee babaangu ningekwepo eneo la tokio ningeenda kuchomowa betri,,betri la scania ni kati ya laki 3 au 4
Tank la mafuta limeanguka mlimani Sekenke jimbo la Mwigulu Nchemba. Foleni ya magari ni ndefu,pia harakati za kuchota mafuta inaendelea.
Yeyote atakayesoma huu uzi amjuLishe kamanda wa mkoa wa Singida kamanda Celina kuwa janga la kibinadamu linanukia ili lete kikosi FFU kunusuru hali. Kumbukeni tank hili likilipuka lita lipua magari yote pamoja na umauti kuwapata watu na wengine vilema vya maisha..Rejeeni ajali kama hii iyotokea Manyoni mkoani Singida na huko mbeya ambapo wengi walipoteza maisha.