Ajali mbaya ya tank la mafuta muda huu mlimani Sekenke wilaya Iramba mkoa wa Singida

mwanakidagu

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
208
78
Tank la mafuta limeanguka mlimani Sekenke jimbo la Mwigulu Nchemba. Foleni ya magari ni ndefu,pia harakati za kuchota mafuta inaendelea.

Yeyote atakayesoma huu uzi amjuLishe kamanda wa mkoa wa Singida kamanda Celina kuwa janga la kibinadamu linanukia ili lete kikosi FFU kunusuru hali. Kumbukeni tank hili likilipuka lita lipua magari yote pamoja na umauti kuwapata watu na wengine vilema vya maisha..Rejeeni ajali kama hii iyotokea Manyoni mkoani Singida na huko mbeya ambapo wengi walipoteza maisha.
 
Kaeni mbali maana wananchi wana njaa na vifo hawasikii tena!! Maisha bora kwa kila mtanzania in vain!!
 
aiseeeeee babaangu ningekwepo eneo la tokio ningeenda kuchomowa betri,,betri la scania ni kati ya laki 3 au 4
 
Yakitokea hayo kwa wezi wa namna hiyo,watakuwa wamejitakia(Mwenyezi Mungu apishilie mbali),watu wetu hawapendi kujifunza kutokana na makosa ya watu wengine,kisa kutaka utajiri wa harakaharaka! Ilitokea hivyo pia huko Kenya kaskazini ambapo zaidi ya watu themanini walitenganishwa na Dunia.
 
tank la mafuta limeanguka mlimani sekenke.jimbo la mwigulu nchemba.
Foleni ya magari ni ndefu.pia harakati za kuchota mafuta inaendelea.
Yeyote atakayesoma huu uzi amjujishe kamanda wa mkoa wa singida kamanda celina.kuwa janga la kibinadamu ninanukia. Alete kikosi ffu.kunusuru hali.
Kumbukeni tank hili likilipuka lita lipua magari yote .pamoja na umauti kuwapata watu wote,na wengine vilema vya maisha.
.rejeeni ajali kama hii iyotokea manyoni mkoani singida. Na ya huko mbeya. Wengi walipoteza maisha.

..........Nchi za wenzetu...kenya, Nigeria majanga haya ya matanki ya mafuta kulipuka yametokea sana.. sasa hapo kazi ni kwa ile helkopta ya polisi ishughulike ..
 
Aiseeeeee babaangu naona unataka kufa umepachoka rombo,njoo huku dar baaangu ctunausa maduka na umachinga tunapata hadi pesa zakujenga huko rombo.
aiseeeeee babaangu ningekwepo eneo la tokio ningeenda kuchomowa betri,,betri la scania ni kati ya laki 3 au 4
 
Ujinga ujuha na umaskini utamaliza watu wetu. Nadhani hili halihitaji polisi kuwaambia watu kuwa kuchota mafuta ni janga ambalo mwisho wake unaweza kuondoka na maisha ya watu. Kama wahusika wanathamini mafuta kuliko uhai wao waache wateketee. Ni vifo vya kujitakia.Shame on you all!
 
Watuulize wanakijiji wa KILANJELANJE kilichotokea baada kuanza kuchota mafuta,si sehemu ya kukodolea mimacho hiyo bandugu Israel anakuwa haangalii sura ya kiumbe shida yake ni roho tu!
 
Bila shaka hilo lori litakuwa limeguma hapo kilimani! Mungu warehemu waja wako!

mwanakidagu

Hebu tupe newz zaidi ya hapo mkubwa!
 
Last edited by a moderator:
Tank la mafuta limeanguka mlimani Sekenke jimbo la Mwigulu Nchemba. Foleni ya magari ni ndefu,pia harakati za kuchota mafuta inaendelea.

Yeyote atakayesoma huu uzi amjuLishe kamanda wa mkoa wa Singida kamanda Celina kuwa janga la kibinadamu linanukia ili lete kikosi FFU kunusuru hali. Kumbukeni tank hili likilipuka lita lipua magari yote pamoja na umauti kuwapata watu na wengine vilema vya maisha..Rejeeni ajali kama hii iyotokea Manyoni mkoani Singida na huko mbeya ambapo wengi walipoteza maisha.

acha unafiki wewe ushaiba mafuta hapo unataka polisi waje wakulinde kubeba mafuta yako. Mwizi wewe umeenda kufanya nini sekenke hapo. au ulikuwa dereva wa lorry ukauza mafuta Bahi na kwenda kulichoma lorry la watu sekenke kupoteza ushahidi? Mmiliki wa lorry hakuachi bora usepe
 
Tank la mafuta limeanguka mlimani Sekenke jimbo la Mwigulu Nchemba. Foleni ya magari ni ndefu,pia harakati za kuchota mafuta inaendelea.

Yeyote atakayesoma huu uzi amjuLishe kamanda wa mkoa wa Singida kamanda Celina kuwa janga la kibinadamu linanukia ili lete kikosi FFU kunusuru hali. Kumbukeni tank hili likilipuka lita lipua magari yote pamoja na umauti kuwapata watu na wengine vilema vya maisha..Rejeeni ajali kama hii iyotokea Manyoni mkoani Singida na huko mbeya ambapo wengi walipoteza maisha.

Vipi kuhusu mmiliki wa hilo tank la mafuta, sio yule kijana wa mkuu, kama ndio mmiliki bora mafuta yaibwe , watanzania wanavuna rasilimali zao zilizokwapuliwa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom