CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Mimi iliniathiri sana tena sana coz iiliwazamisha watanzania wenzangu nguvu kazi ya taifa zaidi ya 1200 wakati huo ndo tuu mkapa kaingia madarakani. Mkapa alikuwa na nuksi zake enzi za utawala wake tulipoteza na kupata hasara kadhaa. 1, kuzama kwa meli ya mv bukoba. 2, ajali mbaya ya treni, dodoma,3, kifo cha baba wataifa Julius nyerere. 4 kifo cha dr omary ali juma makamu wa rais. 5, kifo cha jenerali kombe.6, Kuuziwa rada feki kwa bei ghali. .7, kuuziwa ndege ya rais kwa kulifilisi taifa. 8,kifo cha timu ya ushirika moshi. 9, kifo cha timu ya pamba mwanza. 10, kifo cha timu ya majimaji songea. Jamani wekeni muendelezo wa matukio mabaya unayoyakumbuka yaliyotokea enzi za utawala wa mkapa.
Spika,Leo ni miaka 16 imetimia sasa tangu kutokea ajari mbaya ya meli ya MV BUKOBA,ajari hiyo ilimpoteza kaka angu kipenzi aliyekua ndio kwanza ameanza ajira ktk jeshi la jwtz,iliniuma bcoz ndio aliyekua mfadhili wangu wa masomo ya secondary na maisha ya kila siku,hiyo ilipelekea kukatisha masomo yangu bila kupenda ili niitunze family.
Nakuuliza wewe mwana jf mwenzangu hii ajari ilikuathili vipi?ingawa inauma kuikumbuka siku hii!!