kwani unafikiri kuwa na gari dar ni ufahari?, usiwe kama watu wa mikoani ambao wanashangaa mtu akinunua gari wakati anaishi kwenye nyumba ya kupanga, kwa dar gari sio luxury au sifa ni jambo la muhimu, na sio wote wenye magari wamelipa cash, wengi wetu tuna madeni.
Ni magomeni mapipa ambapo imehusisha gari ya kampuni inayojenga barabara ya morogoro ya STRABAG kugonga muendesha pikipiki na kusababisha kifo chake palepale