mbona L AL NYINGI SIO ALSHABABU KWELI
kwa nilivyoelewa mm anaongelea ruaha mbuyuni-iyovi....., hili eneo lina lami mpya ila kona ni nyingi sana kwa sabb u drive along mto ruaha..., stretch zilizonyooka ni chache sana...,Mbona eneo lile ni tambarale na road imenyoka kabisa
Mbona eneo lile ni tambarale na road imenyoka kabisa
Majeruhi badala ya kukimbia hospitali wanaenda polisi kuchukua Police Form 3.majeruhi wanaenda kituo cha polisi mikumi kupata pf3 kwaajili ya kwenda kutibiwa.