Serikali inabidi sasa na sio baadae kukalia pesa na kula waanze kukagua usalama wa haya mabasi. Mabasi mengi yanunuliwa yakiwa mabovu na mengi kuungwa tu ionekane vizuri nje kwa kupakwa rangi kumbe kinakuwa kitu hakifai kuendeshwa. Waanze kukagua ni hadi lini watu watakuwa wanapoteza maisha?