Chanzo cha ajari ni mwendesha boda boda kulazimisha kupita kwenye daraja huku akiliona bus linakuja
Watu wa bodaboda ni hatari sana kwa kusababisha ajali!!
Bus la Jay toka Moro kuelekea Tanga limepata ajari, liligonga pikipiki ikiwa na watu wawili wote wamekufa, bus lilipoteza mwelekeo na kwenda kugonga muembe na kusababisha dereva kufa hapo hapo mpaka sasa dereva ameshindwa kunasuliwa kwenye usukani.
Watu wa bodaboda ni hatari sana kwa kusababisha ajali!!
Leo kuna nini?
Yaan waendesha bodaboda ni noma sana hawajui hata sheria za barabarani wanaendesha vifaa vya moto ndio wasababishaji wakubwa wa ajali.Watu wa bodaboda ni hatari sana kwa kusababisha ajali!!