Ajali mbaya leo barabara ya Dar-Moro

Ajali mbaya leo barabara ya Dar-Moro

kimunyesam

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
220
Reaction score
202
Nimepita barabara ya dar-moro ajali ya lori la mafuta na gari kubwa la sogea satom ijengayo barabara ya songea nantumbo roli limebeba mtambo yote mawili yameteketea moto huku lori jingine la tatu likipinduka vibaya!nimebahatisha picha moja huku nikiendesha gari kwani traffic police very busy arround that was today morning.no anymore info!
 
Tupia hiyo picha mkuu ili tujione kilichojili.
 
Tangu asubuhi ndo unaleta saiz, hata watu wa kuokelewa si wanapotea kabisa, bora tu ungekaa nalo moyoni. Hata hiyo picha hadi tukuombe uibandike.
 
Duh! Hz ajali mpaka lini jamani?
Bwana wa Majeshi usitupite!
 
Mkuu jaribu kupata dondoo usikurupuke ayo malori yaligongana jana ndio yakawaka moto lile lile kontena lililoanguka jamaa alikuwa anakuja speed alipoona moto break zikagoma,dreva ikabidi alipeleke porini kukwepa moto.in short ajali imetokea jumamosi mida ya 10am.swali fire extinguisher zinafaida gani katika magari kama ajali za moto zipo nying kwa sababu maeneo ya mikumi kwenye zile bumps kubwa kuna body la basi lililoteketea kwa moto limetelekezwa kando ya barabara
 
Eneo gani mkuu maana natokea moro kwenda dar na sasa nipo chalinze sijaona ?
 
Back
Top Bottom