Ajali mbaya Geita,

Ajali mbaya Geita,

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,268
Landcruiser na toyota hiace (daladala) zimegongana uso kwa uso na dereva wa daladala amefariki hapo hapo.
 
Mungu awarehemu.
Nini chanzo?
 
Landcruiser na toyota hiace (daladala) zimegongana uso kwa uso na dereva wa daladala amefariki hapo hapo.

Mkuu kamilisha taarifa yako. Geita ni mkoa/ sehemu gani, lini na mda. Unatupa mhemhe...tuna ndg huko.
 
Poleni sana wafiwa na majeruhi lakini kama
mdau alivyochangia ikamilishe vema taarifa
 
Mkuu kamilisha taarifa yako. Geita ni mkoa/ sehemu gani, lini na mda. Unatupa mhemhe...tuna ndg huko.

Ni Geita mjini kabisa ilikuwa ni muda wa saa moja na nusu usiku usiku kaka.dereva, kondakta na abiria mmoja tayari wameshakufa
 
Back
Top Bottom