dreva na konda wamefia hospita ya mkoa singida na watu wengi 24 waliumia vibaya sana. dreva alilivaa roli lililokua limepaki barabarani. poleni wafiwa na majeruhi wote. mia
basi hilo lilikua linatokea dar kwenda mwanza,dereva alikuwa anaovertake roli akakutana uso kwa uso na lory lilokuwa limesheheni mbao..takriban watu wawili wamefariki papo hapo na majeruh wengi tu wamekatika viungo vyao..source mimi mwenyewe safarin kagera
Poleni sana jamani. Madereva wanachoka kwa kuwa hawapumziki. Ni mpaka serikali itakapoamka na kuwabana wamiliki wa mabasi waajiri madereva wawili kwa basi moja. Na wanapaswa kufanya kama nchi za wenzetu ambapo kupumzika ni lazima kwa madereva wa longtrip. Ujiulize mtu aendeshe toka Dar hadi mwanza siku nzima na kesho huyo huyo hadi dar tena. Ni lazima achoke na akishakuwa na fatigue anakuwa na maamuzi yasiyo sahihi always. Serikali iweke points. Kila dereva akifika hapo ateremke apande mwingine na huyu abaki hapo hadi kesho yake bus likirudi na kuwe na kitu kama ticket atakayopewa huyo anayepanda. Kinachofanyika sasa ni usanii kwa kuwa bus likitoka stand ya kwanza hukaguliwa na wanachofanya wenye mabasi ni kutafuta mtu mwenye leseni anakuwa kama dereva wa pili na wakitoka stand hushuka na kurudi kufanya mambo yake. Na hii inachangiwa na kutowalipa mishahara hawa madereva. Hupewa posho tu . Ukimwambia dereva umpe mtu wa pili ina maana wagawane posho na mara nyingi atasema anaweza kwenda peke yake. Hatari.
basi hilo lilikua linatokea Dar kwenda Kahama, dereva alikuwa anaovertake roli akakutana uso kwa uso na lory lilokuwa limesheheni mbao.
Takriban watu wawili wamefariki papo hapo na majeruh wengi tu wamekatika viungo vyao.
Source: Mimi mwenyewe safarini Kagera