Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,034 Oct 16, 2012 #1 Sina uhakika ila kuna jamaa ninae muamini sana kanambia maeneo ya makao makuu ya wilaya ya mvomero kuna ajali mbaya iliyohusisha malori mawili na noah moja.Habari mbaya ni kwamba inasemekana roho zote ndani ya noah zimepotea.Naomba isiwe kweli.
Sina uhakika ila kuna jamaa ninae muamini sana kanambia maeneo ya makao makuu ya wilaya ya mvomero kuna ajali mbaya iliyohusisha malori mawili na noah moja.Habari mbaya ni kwamba inasemekana roho zote ndani ya noah zimepotea.Naomba isiwe kweli.