AJALI: Lori laanguka katika Daraja la Nyerere(Kigamboni) jijini Dar usiku huu

HilO linaonekana lilikuwa linatokea bandarini. Tatizo haya makontena yanajazwa mizigo mizito kupindukia ili kupunguza gharama za usafirishaji kiasi cha kufanya maroli kuzidiwa. Ukute hilo kontena lina mzigo wa tani hamsini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…