NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,921 Jan 7, 2013 #2 inaonekana kama gari lilipotaka kumgonga akataka kuliwahi na teke kilichofuata ndio hicho hapo teke likawa teke la moja kwa kwa moja.
inaonekana kama gari lilipotaka kumgonga akataka kuliwahi na teke kilichofuata ndio hicho hapo teke likawa teke la moja kwa kwa moja.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Jan 7, 2013 #3 Huuuwiiii usikie tu
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,355 Reaction score 111,637 Jan 7, 2013 #4 Mbona gari halijabonyea???
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Jan 7, 2013 #5 watu8 said: Mbona gari halijabonyea??? Click to expand... Chezea gari za Carl Paters wewe, ingekuwa gari zetu za kichina za leo lazima mbonyeo ungeuona.
watu8 said: Mbona gari halijabonyea??? Click to expand... Chezea gari za Carl Paters wewe, ingekuwa gari zetu za kichina za leo lazima mbonyeo ungeuona.
M Mtz.mzalendo JF-Expert Member Joined Jul 22, 2012 Posts 357 Reaction score 49 Jan 7, 2013 #6 Photoshop
C chilubi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,201 Reaction score 6,269 Jan 7, 2013 #7 Mtz.mzalendo said: Photoshop Click to expand... Photoshop everywhere these days. Kwanza itizame iyo damu katika kioo, kisha ni vipi uweko mguu tu? And then ukitizama on the background nobody gives a Fword!!
Mtz.mzalendo said: Photoshop Click to expand... Photoshop everywhere these days. Kwanza itizame iyo damu katika kioo, kisha ni vipi uweko mguu tu? And then ukitizama on the background nobody gives a Fword!!
M meshackabra Member Joined Sep 28, 2012 Posts 31 Reaction score 4 Jan 7, 2013 #8 grafani11 said: Chezea gari za Carl Paters wewe, ingekuwa gari zetu za kichina za leo lazima mbonyeo ungeuona. Click to expand... mi nadhan hilo gari ni heavy steel
grafani11 said: Chezea gari za Carl Paters wewe, ingekuwa gari zetu za kichina za leo lazima mbonyeo ungeuona. Click to expand... mi nadhan hilo gari ni heavy steel