Suluhisho soma hapaKuna ajali imetokea majira ya saa kumi na mbili maeneo ya mbezi beach Tangi bovu barabara ya bagamoyo kati ya gari la mizigo Fiat 682 lililobeba container na gari dogo cami. Hakuna aliyepoteza maisha, wapo waliopata majeraha madogo.
Huwa nikisikia kuna ajali hayo maeneo huwa napatwa na hofu sana!
dogoo za atlanta. Ulipokuja likizo bongo nilikuona nmb branch tangi bovu ukiwithdraw mkwanja wa maana. Ila dogooo nakukubali kwa kubeba boksi. Mm hapa nshamaliza kufagia naelekea ghetto shared student apartmentTank bovu una ndugu wengi?
za atlanta GeorgiaHuwa nikisikia kuna ajali hayo maeneo huwa napatwa na hofu sana!
Ucwe nå hof kila ki2 shwar. Ila ukiwa mbali na ndugu wac wac ni mwing Sn. Nikuomba aman ili mtu uwe nå full concentration ya kutafuta laif.Huwa nikisikia kuna ajali hayo maeneo huwa napatwa na hofu sana!
Tank bovu una ndugu wengi?
za atlanta Georgia
Ndo wapi huko?
Nyani N mazaria sana kukufaham tayar umeshanipa hints. Kuna vjana pale kwa msomali, bamboo, shimoni nå engen nishawapa kazi yakukujua. Pia Kuna dogoo mwengine snitchy yupo maeneo ya massana Pia ameomba ashirikishwe kwenye zoez hili.Tangi Bovu/ Mbezi beach ndo nyumbani....ile stretch kuanzia pale darajani hadi Makonde....nikisikia ajali imetokea huko kama sipo nyumbani naanza kupiga simu.
We ukiwa hauko nyumbani kwako halafu usikie ajali imetokea maeneo ya karibu hupatwi na hofu?
nasikiaga Nyani Ngabu yupo nje