Mwenye taarifa ya ajali ya gari ya IT iliyotokea Mdaula nmesikia ilikuwa na abiria wa 5 hajatoka hata mmoja, nilikutana na foleni kubwa hapo saa 10 alfajiri
Mwenye taarifa ya ajali ya gari ya IT iliyotokea Mdaula nmesikia ilikuwa na abiria wa 5 hajatoka hata mmoja, nilikutana na foleni kubwa hapo saa 10 alfajiri
Nimeshuhudia mili ya watu kwenye defender na Tank pulling ikiwa ng'ambo ya barabara na saloon car nyeupe sikuweza kupga picha simu ilizima chaj nilitegemea kukutana na hyoo habari asubuhi lakini kimyaa ad saiv