Ajali: Gari la Cocacola limepinduka Makongo

Ajali: Gari la Cocacola limepinduka Makongo

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,255
Gari la cocacola limepinduka saa hizi Makongo;
Hiyo imetokea baada ya kuchomekewa na vibajaji na canter katika kuwakwepa akapinduka huku kibajaji na canter vikiendelea na safari zao nakumuacha kapikunda.
attachment.php
 
Attachments

  • 1412833981981.jpg
    1412833981981.jpg
    62.2 KB · Views: 852
Ngoja vikosi vitiifu vya jeshi vijitwalie vinywaji uokozi baadae nimepita njia hiyo saizi alooo ajali bongo ni neeema aisseeeeee
 
Ngoja vikosi vitiifu vya jeshi vijitwalie vinywaji uokozi baadae nimepita njia hiyo saizi alooo ajali bongo ni neeema aisseeeeee

Acha kuwadhalilisha makamanda wetu bwana,unafikiri wanajeshi ni watu wa hovyo hovyo wa kufakamia maiti za soda?
 
Tupia picha ya ulichokiona hapa saizi kikiendelea
 
Daah.., ila nasikia soda ni sumu.., pengine wengi watapona kwa ajali hii..
 
Ili kutumia vifaa hivi vya moto hatuna budi kuwa na ujuzi husika kitu ambacho ni tofauti hapa Tanzania hasa hasa Dar es Salaam. Ustaarabu bado!
 
Jeshi letu ni imara sana nimelisifu kwa uokozi ajali tu mbio kwa dereva kuokoa nimeipenda natamani wangekuwepo kwenye barabara zote za tanzsnia hizi sjali zxingepungua kwa kweli, big up makamanda wetu
 
Hii ajali nimeiona nikawa najiuliza imekuwaje ikapinduka, kumbe kachomekewa?
 
Jeshi letu ni imara sana nimelisifu kwa uokozi ajali tu mbio kwa dereva kuokoa nimeipenda natamani wangekuwepo kwenye barabara zote za tanzsnia hizi sjali zxingepungua kwa kweli, big up makamanda wetu

Wewe utakua una asili ya unafiki,juu hapo kwenye comment yako ya kwanza umewaponda kwamba wanajitwalia vinywaji wakati huohuo unarudi na kuwapongeza. Acha hizo bwana mdogo
 
Ngoja vikosi vitiifu vya jeshi vijitwalie vinywaji uokozi baadae nimepita njia hiyo saizi alooo ajali bongo ni neeema aisseeeeee

Hata mimi ninaona kuwa vikosi vitiiifu vimetwaa fursa adimu ndani ya himaya yao #makongo .
 
Back
Top Bottom