Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,602
- 22,707
Gari kubwa la mizigo limezidi uzito daraja na kusababisha daraja kuharibika.
Kwa sasa magari yanayotumia daraja hilo yamelazika kutumia njia mbadala.
Huyo Dereva pmbavu kabisa. Haoni alama zote zilizopo pale! Alipe haraka na afungwe kwa malicious destruction of public infrastructure.

Huu ni uzembe na kutokujali
Hilo daraja halijawekwa kibao kuonyesha uzito unaoruhusiwa kupita???
Dereva mwenyewe hajui amebeba uzito gani???
Kwa mambo vile yalivyo hapa TZ sidhani kama hapo tatizo ni uzito wa hilo gari. Tatizo letu sugu hapa TZ ni kudharau wataalam na kuendekeza wanasiasa kwasababu wanajua kubinuabinua midomo yao. Structure zote ambazo tunazo zinatakiwa kuishi kama mwanadamu anavyoishi, ziwe zinafanyiwa uchunguzi mara kwa mara kwa vipindi fulani na ripoti kuandaliwa na hivyo maintenance zitakuwa zinafanyika kwa wakati. Mfano tangu zile mvua kubwa ziliponyesha ni kipi kimefanyika kuangalia ubora wa hayo madaraja na maintenance zipi zimefanyika!, Jibu ni hakuna ni siasa tu. Mtakuja kumuonea bure mwenye hilo lori.
Haaa jamani si daraja jipya hili! kajenga nani kabla ya kulaumu dereva