Ajali imetokea ruvu shule ya msingi ikihusisha basi la kampuni ya BM karibu na zebra waliofariki ni wapanda baiskeli wawili pia bus limegonga kibao cha zebra na lory lililokua pembeni yani (petrol tanker) ya Rwanda kwa nyuma napo kama sio hilo gari angeligonga nguzo ya umeme na madhara yangeweza kuwa makubwa utingo wa busi ameumia mkono nausoni.
shetani ushindwe hizi ajali zako za kutengeneza nazivunja kwa jina la yesu kristo,miaka yote ajali zako za kafara unazifanya mwezi wa 12 lakini naona mwaka huu umeanza mapema
Isiwe sababu ya ajali ya jana basi tukajifanya kuwa ajali ghafla zimeanza kutokea, ajali zipo karibu kila siku ila "za kiwango cha chini", sasa naona watu mna mzuka hata gari ikipata pancha mnakuja kupost.