AJALI: Basi la Saibaba (Dar-Mtwara) laungua

Baaa! nimemckia mhanga akisimulia jinsi moto ulivyoanza, walikua wanakuja Mtwara.

Okay wamepata ajali maeneo gani?? Hawa huwa wahuni wakifika mnazi mmoja abiria wa Mtwara mnaanza kusumbuliwa....
 
Ukitaka ufike mapema na kwa usalama panda Hamanju, Buti la Zungu au Manning Nice hata Southern wanajitahidi.Ila ukipand Ng'itu umeliwaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…