Ajali: Basi la Kimbinyiko lapinduka Gairo

Ajali: Basi la Kimbinyiko lapinduka Gairo

unge
Mimi mwenyewe nliiskia asubuhi but sikuwa na right info nikategemea nikute nyuzi humu
-search MOROGORO: Ajali mbaya, Bus limegonga treni, Mwanafunzi 1 afariki
dh-bposxoaeczop-jpg-large-jpeg.573708
 
Natoa pole zangu za dhati kwa majeruhi na wale wote walioguswa na kuathirika na matukio yote mawili ya ajali zilizotokea Morogoro. Mungu awape nguvu na waliotangulia awarehemu na wapumzike kwa amani.

[HASHTAG]#Pray[/HASHTAG]_for_Morogoro.
 
Kuna ajali mbaya sana iliyohusisha coaster na treni pale masika morogoro Leo asubuhi ....sijaona bandiko lolote humu kuhusu hilo tukio
Lipo tangu asubuhi na picha zimewekwa Mpwa. Ila leo tu kumetokea ajali tatu Morogoro nimeona nyingine imeripotiwa sasa hivi usiku huu humu humu basi limepinduka Mlimani
 
Gairo ni eneo ambalo lipo ktk Wilaya ya Kilosa ktk mkoa wa Morogoro, wenyeji wake wengi ni kabila la wakaguru! Mbunge wao wa zamani alikuwa Chiduo!
 
Back
Top Bottom