Yule mheshimiwa alisema ajali zitakuwa historia!Asiwe na shaka maana Mkuu amesema hata ile ncha kali ameihifadhi mbali na hapendi kuikumbuka.Mwarobaini wa tatizo hili ni bado sana,ninyi wanasiasa msituongopee.Ajali imetokea leo majira ya asubuhi ikihusisha basi la kampuni ya Emigrace Express ambalo linafanya safari zake Dar es salaam kwenda Babati kupinduka maeneo ya Kondoa.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema kuna vifo vya watu wawili vimetokea na majeruhi kadhaa katika ajali hiyo.
Hakijafahamika mara moja chanzo hasa cha ajali hiyo.View attachment 882108
Yes na kona za hatari kipande kileKuna miinuko flani maeneo ya Bereko na kuendelea babati kama dereva si makini anabwaga gari
Ajali imetokea leo majira ya asubuhi ikihusisha basi la kampuni ya Emigrace Express ambalo linafanya safari zake Dar es salaam kwenda Babati kupinduka maeneo ya Kondoa.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema kuna vifo vya watu wawili vimetokea na majeruhi kadhaa katika ajali hiyo.
Hakijafahamika mara moja chanzo hasa cha ajali hiyo.View attachment 882108
Hilo eneo kama kusingekuwa na udhibiti wa spidi leo tungekuwa na ajali nyingi sanaChanzo cha ajali lazma iwe mwendo kasi..nimeshashuudia basi la .... likidondoka mbele ya macho yangu sbb ilishindwa kukata kona baada ya kuwa linafukuzana na basi letu na ni eneo hilo hilo napakumbuka vzuri sana..kuna kona kali sana apo.
Mkuu ule muda wako ukifika, litakipata tu, waanze mapema au wachelewe, kuna watu maisha yao yote ya kazi ni safar lakin mpka anaamua anapumzika na anakuja fia sehem nyingne kabisaa,Wameanza mapema hivi? Nimeghairi kusafiri mwisho huu wa mwaka.