Nilikuwa Mwanza wiki mbili zilizopita nataka kupanda basi la luxury kwenda Arusha.
Nikaambiwa,"Basi unalohitaji wewe ni Loliondo nalo limeshaondoka"
Mabasi haya haya: tunapanda,tunafika salama,lakini baadaye tunasikia basi limeoata ajali mahali fulani.