mpambanaji
Member
- Apr 5, 2009
- 22
- 1
just curious mbona Abood ikipata ajari hamuweki picha ?
baada ta muda wa saa nzima, ya kuhangaika na kupata tairi la kuazima, Polisi Msamvu waibuka, hakuna safari bila spare tyre. Mbeya walikuwa wapi? Ajali ungekuwa mbaya wangejiteteaje? Baada ya kulipa fine gari laruhusiwa. Nini bora, fine au usalama? Sasa limeruhusiwaTujadiliane hapa kidogo. Inakuwaje gari liana toka Mbeya kwa safari ndefu ya kilometa zisizopungua 800 bila kuwa hata na tairi la dharura? Gari limeegeshwa Msamvu, yapata saa Moja sasa na hakuna ufumbuzi wowote. Je, utoshelevu wa vifaa vya gari si sehemu ya ukaguzi wa kila siku wa jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani hasa kwa gari za abiria kabla yakuanza safari?
Katika hali ya kumshukuru Mola, tairi ya mbele kushoto bus la Muro toka Mbeya lapasuka tairi Morogoro wakati likiingia stand kuu ya Morogoro. Mwendo mdogo wa 5km/h umepelekea kulinusuru gari hilo katika janga kubwa ambalo lingeweza kutokea Kama mwendo ungekuwa tuliouzoea