Hii nchi bwana haiishiwi vituko yani nikama kila sekta pana watu wasiokua na weledi na fani wanazozitumikia yani.
Pamoja nakua tunapokua shuleni na vyuoni tunakumbana na misemo nahau vitendawili methali na kadhalika lakini havitusaidii lolote. Kwamfano unaweza kushangazwa na Jeshi la Polisi kuwalaumu au kutishia kuwachukulia hatua kali Madereva wa magari endapo watasababisha ajali au watagundulika kutumia matumizi ya Barabara kwa kuvunja sheria
Ila wanasahau kua zaidi ya 80% ya madereva wa Tz hawajui sio tu kuendesha gari vizuri ila pia sheria za Barabarani. Na kwa kiasi kikubwa inachangiwa na haohao Polisi ambao hugawa Leseni za Udereva bila kuzingatia sheria.
Mtu anatoa hela unamuidhinisha akakate leseni wakati unajua hana mafunzo ya Udereva akipata ajali unamchukuliaje hatua?