Ajali,Ajali

Clarity

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2010
Posts
1,963
Reaction score
2,917
Nimetokea Tanga kuwlekea Dat njiani nimekuta ajali mbili zote ni mabasi ya abirii
Dar Express kabla ya kufika Kabuku limeanguka barabarani limelalia upande mmoja bahati mbaya ckuweza kupata details za Vifo na majeruhi kwani sehemu ile nimeshindwa kupark gari na kuuliIa taarifa zaidi
Sumry lililotokea Tunduma kuja Dar nalo li
epata ajali maeneo ya mlandizi kwa kuligonga fuso hapo ni
eshuhudia kondakta akiwa amekatika miguu na kukimbizwa tumbi pamoja na majeruhi wengine nawasilisha
 

Tusubiri salamu za rambirambi kupitia Silva Rweyemamu....
 
duh!! pole kwa majeruhi wote.
 
Hii ya jana. Na leo kuna jingine tena limepata ajali. Miafrika bana....
 

he!!......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…