ajali mbaya imetokea Mkoani kilimanjaro mitaa ya maili sita na bado haijajulikana ni idadi ya watu wangapi waliokufa ila inasikitisha.Ntawaletea habari kamili muda mfupi ujao.Barabara ni Arusha to Moshi Road.A minute plz for more updates
Yupo namanga anapata supu kwanza akimaliza ndo atafute gari kuelekea kwenye ajali lakini kwa nini mtu ukurupuke ku post kabla ya kufika eneo husika ili kuepuka kudanganywa ama kudanganya tumeona post nyingi sana humu mtu ana sema subirini more updates kisha anaingia mitini baada ya kugundua kuwa kapigwa fix

Ni kweli ajali imetokea kibosho road,na ni gari 2 zimegongana uso kwa uso kwa walivyotangaza sauti ya injili ni kati ya hilux na gari ya idara ya maji ya hai,na ni mbaya,
hajafa mtu ila waliokuwa kwenye hilux ndo wameumia zaidi ya hao wa land cruiser, ni matokeo ya kotokufuata sheria za barabarani, matokeo yake wataweka matuta
Ni wamiliki wa stereo hotel Arusha na pia baba yao na mama yao walikufa kwa ajili hapo maji ya chai takriban miaka nane iliyopita. Kwa wenyeji wa Arusha na wafanyakazi wa stereo watupe updates
poleni wamiliki wa hoteli ya stereo mliyorithi toka kwa wazazi wenu waliopata ajali hapo maji ya chai...mungu awape nafuu ya haraka nyie wamiliki wa hoteli.
Poleni na msiba katka ajali hiyo mbaya iliyotokea Moshi Kibosho Rd. Amefariki mtu mmoja ambaye ni Aron Mtei kakaake aliyekua anaendesha gari hiyo aina ya Toyota Hilux ameumia vibaya na amelazwa hospitali ya KCSMC Moshi ambaye anaitwa Hendry Mtei

Jamani ajali ya kusikitisha sana RIP Aaron Mtei..huyu alikuwa class mate wangu sijajua hali ya Hendry kakake Aaron inaendeleaje mungu awape ujasiri hii familia ya Mtei...jamani wazazi ajali mtoto ajali...poleni sana walikuwa wanaelekea kwenye msiba wa ndugu yao dada wa baba yao mkubwa...poleni sana...inasikitisha...RIP Aaron...