KAYABOMBICHI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 296
- 142
Tume ya Taifa imetangaza tarehe ya uchaguzi jimbo la Singida Mashariki jimbo ambalo mbunge wake yuko hai anapambania uhai wake hospitalini.
Ubelgiji najua wananchi wa Singida Mashariki walikuwa wakimsubiri kwa hamu mbunge wao aje awaeleze nini kilichompata lkn ghafla ndo hiyo imezimwa na sasa wanaandaliwa mbunge mpya!!
Najiuliza ni nana huyo mwenye roho ngumu kiasi hicho,ni mwana singida mashariki kweli asiye hata na chembe ya uoga wala aibu ?Atasimama jukwaa lipi?
Atawaeleza nini wanasingida mashariki?
Inahitaji akili ya ziada kuukubali ubunge huo kwa mazingira haya !