Joke hii ingeenda jukwaa husika ningekomenti nijuavyo, ila hapa hadharani siwezi asante!Binadamu wa kiume ni dhaifu sana linapokuja suala la mapenzi. Tazama picha hii kisha nipe maoni yako. Free style comments
Karibuni sana.
Kutojisoma huko. Hakuna ushijaa hapo.....
mbona wewe hauko sehemu husika watu bwana inachekesha sanaaaaaaaJoke hii ingeenda jukwaa husika ningekomenti nijuavyo, ila hapa hadharani siwezi asante!