Aithee

Aiseee kweli ndo maana huwa najikuta namkumbuka ex girlfriend wangu kila nionapo gunia la mkaa kumbe ndo sababu. Iiiiiiiiiih, i wish i could bring you back kate!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kuumbeee ni bora kutumia gesi sasa majiko ya mkaa yote tupa mbali
 
Msela wangu yeye huwa anamkumbuka demu wake wa kizungu kila anapoona kitimoto.
 
Jamaa yangu naye anamkumbuka ex wake mweupe kila akiona toilet paper.Say NO to racism!
 
Dah...

Ukiona umeachwa na mtu mweusi jua hata kimoja cha kuvutia.

Maaan watu weusi wanahurum wanapenda hata vituko.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…