Aishi Manula arejea Azam FC

Aishi Manula arejea Azam FC

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Golikipa wa timu ya taifa ya Tanzania taifa stars zamani Simba Sc Amejiunga na timu yake ya Zamani Azam FC Kwa mkataba wa miaka 3, Aisha anaondoka Simba baada ya kukosa namba mbele ya Spider man Mousa Pinpin Camara.

Je? Manula anaweza kurejea kwenye ubora wake.

1615586285.jpg
 
Pole sana kwa mateso yote uliyopitia kijana wangu wa Mkamba Kilombero. Daima kwenye maisha yako hutausahau ule msemo wa "shukrani ya punda ni mateke".
 
Kila la kheri kwake,

Vipi hata wale walio mtuma usaliti, hawamtakii?
Ila Waja, wakamtumia na kumuachaa, Lol
Lakini ndo ameteseka, poleee yake.

😂😂😂😂😂
 
Kila la kheri kwake,

Vipi hata wale walio mtuma usaliti, hawamtakii?
Ila Waja, wakamtumia na kumuachaa, Lol
Lakini ndo ameteseka, poleee yake.

😂😂😂😂😂
Vipigo 5 mfululizo alidaka msaliti aishi manula?
 
Angalau amepatikana mpambanaji wa kweli Azam fc,nawaapia makolo msimu ujao ajiandae vilio ktk mechi za azam
 
Back
Top Bottom