DADA YANGU.... ILI UWEZE KUJENGA MARAFIKI WALIO WENGI NA SAHIHI NI LAZIMA UKUBALI CHUKI KUTOKA UPANDE USIO KUWA SAHIHI...
AMEFANYA UAMUZI SAHIHI... NI JAMBO LA AIBU KUWA UPANDE MMOJA NA ROSTAM, LOWASA NA MZEE WA MISUKULE...hawa ni meli za sumu kwa Tanzania tunayoiota....
Mzee SLAA Kama ulivyoahidi...wameanza kujibu lakini hadi sasa hivi wengine wamekwepa! Tunakuomba urudi kuendeleza NA MWANZA BADO TUNAKUSUBIRI kama ulivyotuahidi kwenye Mkutano wa M4C!
CHADEMA ASILI WANATAMBUA MCHANGO WAKO! CHADEMA KAMPUNI WATAENDELEA KUKUBEZA! NCHI KWANZA CHAMA BAADAE! TUPO PAMOJA DR!!!
Musoma alikuwepo hapo lini,we angalia mafuriko Sumbawanga nyumbani kwa Pinda,mpigieni debe MAKUFULI tuachieni EL wetu NYIE HAWAHUSU!!!!
Wapi nimesema Lowassa ni fisadi? Jaribu kutuliza akili,nimeuliza kama (madai) ya Lowassa kuwa ni fisadi, vipi Magufuli sio fisadi? Kashfa ngapi zinazomuandama?
Lowassa yeye anatuhumiwa na Richmond pekee, vipi Magufuli mwenye tuhuma za barabara, meli, nyumba za serikali n.k?
Pia kama Lowassa ni fisadi kama inavyodaiwa inakuingia akilini amekaa uraiani kwa miaka 7 bila kufikishwa kwenye chombo chochote cha sheria?
Wakati mwingine tuwe tunajadili FACTS na sio ushabiki.
Haya dada mchana mwema naona jazba zishaanza.
Amejijengea chuki kwa wasiojielewa. UKAWA kumuweka Lowasa wamachemsha! Nimeona kampeni mjini Musoma dah! kweli Somo la Dr. Silaa limeeleweka! Nadhani Mr. Lowasa kapewa option ya mdahalo ili ajulikane nani muongo na nani mkweli!
Wewe ndio unasema baada ya kukosa urais. Porojo ni kumkubali na kumnadi mtu ambae miaka mingi mlikuwa mnamsema ni fisadi, hizo ndio porojo!
Hujaona kampeni ya Sumbawanga mzee ana nyota balaa.
Kale nae mihogo basi kaka yangu!
Amejijengea chuki kwasababu ya kuwa na msimamo??!! Yeye kashindwa unafiki, Mbowe na wenzie waendelee na unafiki wao!
Mhuu hio mihogo inamezeka basii
1.Mwaka 2010 Mgombea urais kupitia ccm akiwa monduli alimnadi Lowassa mtu safi?
2. Ilikuwaje cc ya ccm impitishe kuwa mgombea Ubunge Monduli?
3. Ilikuwaje alipofika bungeni akateuliwa kuwa M/ kiti wa kamati ya mambo ya nje?
4. Ilikuwaje ikamteua kuwW M/ kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama na mambo ya nje?
Au waliomteua walikuwa nao na Mikono michafu?
Au tuambiwe pamoja na Slaa kukurupuka,Lipumba kujikaanga,ccm watueleze hivi ukiwa ccm( kiwanda cha kuzalisha makapi) unakuwa na faida ukitoka unakuwa makapi?<!-- google_ad_section_end -->
Hivi kwa nini Lowasa amewaletea kichomi namna hii? Si mlimkata wenyewe mkaona hafai sasa anakubalika kila mahali si utani. Jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. mtakoma labda muibe kura hata hivyo atawaacha kwa mbali sanaa ndio maana mmeanza mbinu chafu za kimasaburi