Aiseeee!

Ni kweli atueleze, toka kwenye kushindia mihogo hadi kukodisha ukumbi Serena na kuwa LIVE kwenye media kibao kwa zaidi ya masaa?

Kwanini hotuba yake ilisindikizwa na wimbo wa CCM?

hahahaahhaaaa, hatesi mtesa akafululiza
 
Afu wanasema elimu haiwezi kuwa bure mpaka chuo kikuuu kama chama kina pesa nyingi hivyo inakuwaje serikali haina pesa
 
Mzee kajijengea chuki kubwa sana, juhudi zake zote zimegeuka upepo ndani ya lisaa limoja tu.
Ila acha apate anachostahili maana alisema hatojali hata kama akionekana adui.
 
**********
 

Attachments

  • 1441259097562.jpg
    80.2 KB · Views: 513
Amejijengea chuki kwa wasiojielewa. UKAWA kumuweka Lowasa wamachemsha! Nimeona kampeni mjini Musoma dah! kweli Somo la Dr. Silaa limeeleweka! Nadhani Mr. Lowasa kapewa option ya mdahalo ili ajulikane nani muongo na nani mkweli!
 
Wanaosrma Dk amenunuliwa leo kisa kusimamia kile anachokiamini kama Lowasa na Rostam na mafisadi je 2007 wakati anawataja alinunuliwa na nani? Hivi kwanini tusiamini Chadema imenunuliwa sababu agenda zao zote wamezitupa na kugeukia kwengine?

HIVI ULIWAHI JIULIZA NINI MAANA YA KUBADILI GIA ANGANI?
 
Musoma alikuwepo hapo lini,we angalia mafuriko Sumbawanga nyumbani kwa Pinda,mpigieni debe MAKUFULI tuachieni EL wetu NYIE HAWAHUSU!!!!
Amejijengea chuki kwa wasiojielewa. UKAWA kumuweka Lowasa wamachemsha! Nimeona kampeni mjini Musoma dah! kweli Somo la Dr. Silaa limeeleweka! Nadhani Mr. Lowasa kapewa option ya mdahalo ili ajulikane nani muongo na nani mkweli!
 
Mzee kajijengea chuki kubwa sana, juhudi zake zote zimegeuka upepo ndani ya lisaa limoja tu.
Ila acha apate anachostahili maana alisema hatojali hata kama akionekana adui.

Bora lipumba hakujifanya jasiri huyu anajifanya kidume.
 
Amejijengea chuki kwa wasiojielewa. UKAWA kumuweka Lowasa wamachemsha! Nimeona kampeni mjini Musoma dah! kweli Somo la Dr. Silaa limeeleweka! Nadhani Mr. Lowasa kapewa option ya mdahalo ili ajulikane nani muongo na nani mkweli!

Ingekuwa vizuri sana kama mngetusaidia kujibu maswali hayo kwenye gazeti
 
Mzee kajijengea chuki kubwa sana, juhudi zake zote zimegeuka upepo ndani ya lisaa limoja tu.
Ila acha apate anachostahili maana alisema hatojali hata kama akionekana adui.

Amejijengea chuki kwasababu ya kuwa na msimamo??!! Yeye kashindwa unafiki, Mbowe na wenzie waendelee na unafiki wao!
 


Amenunuliwa Mbowe na wenzie....ila kwa UKAWA hilo ni sawa tu ili mradi waingie ikulu kitu ambacho hakitatokea!!!!
 
Amejijengea chuki kwasababu ya kuwa na msimamo??!! Yeye kashindwa unafiki, Mbowe na wenzie waendelee na unafiki wao!

Msimamo huo umekuja baada ya kukosa nafasi ya kugombea urais?
Kwanini alimpokea kama alikuwa na msimamo wa ukweli?
Suala la Slaa ukisema msimamo tu haitoshi, tafuta porojo nyingine hii imekosa mashiko.
 
Msimamo huo umekuja baada ya kukosa nafasi ya kugombea urais?
Kwanini alimpokea kama alikuwa na msimamo wa ukweli?
Suala la Slaa ukisema msimamo tu haitoshi, tafuta porojo nyingine hii imekosa mashiko.

Wewe ndio unasema baada ya kukosa urais. Porojo ni kumkubali na kumnadi mtu ambae miaka mingi mlikuwa mnamsema ni fisadi, hizo ndio porojo!
 
Wewe ndio unasema baada ya kukosa urais. Porojo ni kumkubali na kumnadi mtu ambae miaka mingi mlikuwa mnamsema ni fisadi, hizo ndio porojo!

Kama kigezo ni ufisadi, Magufuli sio fisadi? Kwanini alijiuma uma alivyotakiwa kuwapa Watanzania mtazamo wake kuwa wamchague nani?
Kama kweli alilenga kuongea na Watanzania.....kwanini alikosa hitimisho la tamko lake ambalo lilitakiwa liwe mgombea urais anayefaa kwa Watanzania?
 

Two wrongs dont make a right! Nashukuru umekubali ni fisadi ila unataka ku justify kwasababu Magufuli nae ni fisadi....btw sina upande si Magufuli wala Lowassa, nazungumzia msimamo wangu tu! UKAWA ni wanafiki kwasababu waliekuwa wanamponda ni fisadi miaka na miaka sasa hivi ndio wanamtukuza awe rais wao! It wont happen.
 

Wapi nimesema Lowassa ni fisadi? Jaribu kutuliza akili,nimeuliza kama (madai) ya Lowassa kuwa ni fisadi, vipi Magufuli sio fisadi? Kashfa ngapi zinazomuandama?
Lowassa yeye anatuhumiwa na Richmond pekee, vipi Magufuli mwenye tuhuma za barabara, meli, nyumba za serikali n.k?
Pia kama Lowassa ni fisadi kama inavyodaiwa inakuingia akilini amekaa uraiani kwa miaka 7 bila kufikishwa kwenye chombo chochote cha sheria?
Wakati mwingine tuwe tunajadili FACTS na sio ushabiki.
 
Mzee kajijengea chuki kubwa sana, juhudi zake zote zimegeuka upepo ndani ya lisaa limoja tu.
Ila acha apate anachostahili maana alisema hatojali hata kama akionekana adui.

Yaani huyu babu Mbinguni alikimbia, ulimwenguni wanamkimbiza uelekeo uliobaki ni JEHANAM tu.
 
Yaani huyu babu Mbinguni alikimbia, ulimwenguni wanamkimbiza uelekeo uliobaki ni JEHANAM tu.

Hahahaaaaa babu aliyesaliti hadi kanisa ni wa kuogopwa sana!
 
Mzee kajijengea chuki kubwa sana, juhudi zake zote zimegeuka upepo ndani ya lisaa limoja tu.
Ila acha apate anachostahili maana alisema hatojali hata kama akionekana adui.


DADA YANGU.... ILI UWEZE KUJENGA MARAFIKI WALIO WENGI NA SAHIHI NI LAZIMA UKUBALI CHUKI KUTOKA UPANDE USIO KUWA SAHIHI...
AMEFANYA UAMUZI SAHIHI... NI JAMBO LA AIBU KUWA UPANDE MMOJA NA ROSTAM, LOWASA NA MZEE WA MISUKULE...hawa ni meli za sumu kwa Tanzania tunayoiota....

Mzee SLAA Kama ulivyoahidi...wameanza kujibu lakini hadi sasa hivi wengine wamekwepa! Tunakuomba urudi kuendeleza NA MWANZA BADO TUNAKUSUBIRI kama ulivyotuahidi kwenye Mkutano wa M4C!

CHADEMA ASILI WANATAMBUA MCHANGO WAKO! CHADEMA KAMPUNI WATAENDELEA KUKUBEZA! NCHI KWANZA CHAMA BAADAE! TUPO PAMOJA DR!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…