Aiseeee!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,027
{Wife}:->Honey naomba niicheki simu yako dakika moja tu. {Husband}:->Okay subiri nii-switch on..[delete inbox and sent sms,delete videos,delete music,delete pictures,delete xx...format memory card],haya dear simu hii hapa,i have nothing to hide from you.{Wife}:->Okay akhsante but nilitaka kuangalia muda tu mume wangu.
 
Mpe faster atakachokutana nacho huko asije akapata ugonjwa wa moyo.huna haja ya kufuta kitu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…