Jomasi Member Joined Nov 30, 2014 Posts 48 Reaction score 32 Jul 24, 2016 #1 Wakuu, anayefahamu Jina la wimbo huu wa taarabu Zilipendwa (duka lako la asali sasa linanuka shimbo, kwa kweli sikuzania kama wewe una mambo)
Wakuu, anayefahamu Jina la wimbo huu wa taarabu Zilipendwa (duka lako la asali sasa linanuka shimbo, kwa kweli sikuzania kama wewe una mambo)
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,337 Reaction score 6,431 Jul 24, 2016 #2 Una mambo wewe... hii nyimbo daaaah mbali sana aise.
magulumazya Member Joined Mar 27, 2015 Posts 11 Reaction score 6 Jul 24, 2016 #3 Issa matola unamambo