HongeraKwa kifupi... niliingia humo muda si mrefu...
Lakini ni wazi, pasi na shaka ya aina yoyote kuna faida nyingi mno.
NB:
- Kiuchumi: Baada ya kutenga sadaka, pesa inayobaki inaniwezesha kukidhi mahitaji. Yaani, inakutana na hesabu ya mwezi unaofuata.
- Kijamii: Heshima inakuja hata kutoka kwa wale ambao hapo awali walinidharau.
- Miradi: Miradi mbalimbali ambayo ilionekana kama imeshindikana au kufa kabisa sasa imefufuka na inafanya vyema, mfano ujenzi.
- Afya: Mwili unakuwa na nguvu ya kufanya kazi kwa muda mrefu bila kuchoka wala kupata kiu ya pombe.
- Mengineyo: Hata mwanamke akiwa amevaa nusu uchi au nguo za kubana, sijielekezi kuangalia makalio yake na michirizi ya chupi kama ilivyokuwa awali.
- Muonekano: Sura (uso) umebadilika, nimekuwa na nuru na uangavu wa kipekee. Nikilinganisha na enzi za 'weka mchupa toa mchupa' a.k.a 'leta kama tulivyo, zungusha round'.
- Amani: Nimekuwa na utulivu wa ajabu ndani ya nafsi yangu kiasi kwamba nina uwezo wa kushughulikia mambo magumu na mazito bila kutoa matusi kama hapo awali.
Mimi si mwanachama wa makanisa ya miujiza na mboga mboga.
Nimeokoka kibinafsi chumbani kwangu na Mungu wangu.
Mafundisho nafuata kutoka kwa wachungaji mchanganyiko mitandaoni wanaohubiri kweli na sadaka ninatuma humo humo.
Huwezi amini nimekuwa na uwezo wa ajabu wa kujizuia mihemko/tamaa za kingono....na kwa kifupi ndio wanajilengesha kweli kweli....na kila nikiwakwepa kuna kitu napata kwa ghafula i.e. mtu ninayemdai ananilipa from no where.Me nikajua unapata vitafunwa kwa urahisi, so nikupiga miti tu, kumbe izo
Nakupa MOYOMimi tokea tarehe 1 mwezi huu nimeokoka hakika kwanza nimejitambua kupita kawaida,then tumaini na mwanga kwenye maswala yangu umetokea gafla,pia wanawake hawana nafsi kwenye maisha yangu yaani namuona mtenda dhambi kama mshamba fulani hivi,sometime namfananisha na nguruwe analijipaka kinyesi cha mwanadamu,mambo ya dunia hii hayanibabaishi kama una cheo ama chochote kuna namna nakuona kama mimi ndio nakutawala tu,lingine nikitembea naona kama dunia sio mahali pangu hivyo na kuwa makini sana.
Shetani namuona ni mshamba tu na mambo yake ya dhambi,dhambi ambayo zamani unajiona mjanja kufanya.
Well said mkuu.Haya mambo ukiyajua mapema life is good
Salvation
Tithing
Wanaotawala ktk roho ndo hao hutawala ktk mwili wa nyama physical body.
AminaNakupa MOYO
Kamwe usiiache njia hiyo....kwani ndio siri ya uhai na uzima wa vyote. 👍
Mchupa ndio nini? Hijawahi kuwa mnywaji acha kuchota watu. Alafu hapo kikubwa ni self discipline tu. Sip ulokole wala niniKwa kifupi... niliingia humo muda si mrefu...
Lakini ni wazi, pasi na shaka ya aina yoyote kuna faida nyingi mno.
NB:
- Kiuchumi: Baada ya kutenga sadaka, pesa inayobaki inaniwezesha kukidhi mahitaji. Yaani, inakutana na hesabu ya mwezi unaofuata.
- Kijamii: Heshima inakuja hata kutoka kwa wale ambao hapo awali walinidharau.
- Miradi: Miradi mbalimbali ambayo ilionekana kama imeshindikana au kufa kabisa sasa imefufuka na inafanya vyema, mfano ujenzi.
- Afya: Mwili unakuwa na nguvu ya kufanya kazi kwa muda mrefu bila kuchoka wala kupata kiu ya pombe.
- Mengineyo: Hata mwanamke akiwa amevaa nusu uchi au nguo za kubana, sijielekezi kuangalia makalio yake na michirizi ya chupi kama ilivyokuwa awali.
- Muonekano: Sura (uso) umebadilika, nimekuwa na nuru na uangavu wa kipekee. Nikilinganisha na enzi za 'weka mchupa toa mchupa' a.k.a 'leta kama tulivyo, zungusha round'.
- Amani: Nimekuwa na utulivu wa ajabu ndani ya nafsi yangu kiasi kwamba nina uwezo wa kushughulikia mambo magumu na mazito bila kutoa matusi kama hapo awali.
Mimi si mwanachama wa makanisa ya miujiza na mboga mboga.
Nimeokoka kibinafsi chumbani kwangu na Mungu wangu.
Mafundisho nafuata kutoka kwa wachungaji mchanganyiko mitandaoni wanaohubiri kweli na sadaka ninatuma humo humo.
Well said mkuu.
Lakini mtihani ni kwamba haya mambo hayaeleweki kwa akili.
Mfano mzuri ni mimi mwenyewe.....najishangaa....
Na ndipo ninapopata tafsiri ya neno..NEEMA.
oya jamaa, kwani wewe ulitaka aseme jina unalojuaga ndo ujue kweli alikua mnywajiMchupa ndio nini? Hijawahi kuwa mnywaji acha kuchota watu. Alafu hapo kikubwa ni self discipline tu. Sip ulokole wala nini
Mchupa ni pombe.........nimekunywa pombe mpaka za kienyeji....mbali na self discpline....lakini ukaribu na Mwenyezi Mungu.....kuacha dhambi....kutenda mema.....kusoma sana neno la Mungu.Mchupa ndio nini? Hijawahi kuwa mnywaji acha kuchota watu. Alafu hapo kikubwa ni self discipline tu. Sip ulokole wala nini