Aisée sitoisahau hii

hahahaha unampigia simu mtu wa bajaji siku zote hizo hujui kama ni baba wa huyo demu, chai kabisa hii hata usiendelee
 
hahahaha unampigia simu mtu wa bajaji siku zote hizo hujui kama ni baba wa huyo demu, chai kabisa hii hata usiendelee
Mteja alighairi safari baada ya kusikia jina mgonjwa kumbe mgonjwa mwenyewe ni mwanae a
 
Sijaamini bajaji? Saut Mwanza? Uongo mwingine mh...
 
Aaahhaaaa kumbe ulikuwa unaota
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…