Hamna kitu, wanawaandaa kuwahadaa ili wawatumie kwenye kuiba kura wakati wa uchaguzi ujao, wakishatumika wanakua dusted. Hapo ni mkwara ili Walimu watishike.
Hili suala lilitakiwa lisimamiwe na CWT na sio Bunge, KAZI ya CWT ni kuibia Tu Walimu huku wao wakichekelea