Aisee kwanini siwez kumtongoza mwanamke pasipo kumwahidi kuwa nikubalie nitakuoa

Mary baby ukiwambia ukweli wanakuchuna hela na kusepa

Lakin ukimwambia kuwa nitakuoa hata hela anakuwa haombi hivyo ni kukipigia usiku na mchana

Hata kama ukimuita gheto anakuja fasta si anajua ataolewa
piga baba piga na hilo neno "nitakuoa"usiliondoe
 
Kuna baadhi ya products huwezi kutosheka kula mara moja, na ukisha kula hutaki wenzio wapite.

Ndo hapo sasa inabidi kumaintain na hela lazima itumike.
Huna pesa umantain ili iwaje,,kutokea mpya ni nafuu in terms of cost cutting kuliko kimaintain has a mabinti
 
Same disease as me.


Mzee hii mambk mbaya sana tusipokuwa makini nayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom