Aisee kwali wanawake hii ni asili yenu!

Aisee kwali wanawake hii ni asili yenu!

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
7,341
Reaction score
4,076
Nina watoto wawili, kwa kwanza wa kiume na wa pili ni wakike, haka ka kike ndiko kananitia majaribuni hasa, kana "gia" kali sana za kunipiga vibomu, anaweza aniombe kaka yake nimtose na hana ubishi zaidi ya kusema "sawa baba", lakini kenyewe kakitaka kitu kwanza kanakuwa kapole na sauti ya chini kanasound very innocent, ukikanyima kanasema kwa upole "baabaa", utakapotezea lakini kanakuwepo tu around kanaangalia kwa macho ya wizi ukigonganisha macho kanasema tena "eti baabaa"....mwisho wa siku lazima ukatoe tu!
 
Back
Top Bottom