Sisi tunaokaa vijiweni saana kuna habari zinasema eti RA na JK sasa hivi hawaivi, lazima achanganyikiwe. kila rafiki yake anamkimbia... siku ya nyani kufa kila mti huteleza.
Tuondoke hapa mwanawane siyo eneo la kuzungumzia haya mambo kwani watu wa UKAWA watatufukuza hapa sasa hivi,hawataki mchezo kabisa,twende kwenye ile thread fulani hivi ya kiwatengu ,nimeshakuita huko,tuachane na hii thread ya kisiasa my dear!!