Tafiti zadai wanawake/watoto wa kike, wanaongea maneno 20,000 dhidi ya 7,000 kwa kina kaka/baba! Khaa! Viumbe wa ajabu aise hawa...
Si mchezo, ni kama unafungulia bomba la maji!
Ni uwezo wa ajabu kwa kweli, mpaka yawa kero majumbani na mtaani...
Wanadai eti ni sababu ya Foxp2 protein! Wazungu bana?!
Na ndio maana huwa wakilala wawa fofo na kukoroma kishenzi...
Nimeshuhudia mara kadhaa wakimaliza kuongea kwa kasi zao za ajabu huwa wanahema kama vile wametoka piga kazi fulani hivi! Balaa...
Cha kufanya manjemba wenzangu..
Ukiona maneno ni mengi wakati wa kulala, mpe mzigo
heavy na kibamia chako...
Ukiona maneno ni mengi mkiwa sebuleni, mpe mzigo heavy wa vibamia vyetu..
Ukiona kama katosheka na haongei tena, mpe mzigo heavy alale, au mnasemaje?!
Read more:
Women really do talk more than men (13,000 words a day more to be precise) | Daily Mail Online