mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
- Thread starter
-
- #121
niliona ile nguo yenye nembo ya nazi aliyokuwa amevaa yule sijui dj wa kipindi nimekisahau jina sijui fnl, nilishangaa sana ilikuwaje kuvaa nguo ile na kuwa hewani kwenye tv na airtel ndio walikuwa wamedhamini show. anyway ndio kidunia dunia ya 3 , ingekuwa kwa dunia za kwanza tayari ingeshakuwa gumzo kubwa sana.Airtel has to learn better corporate imaging. They are promoting Nazism through imagery on EATV.
Umelipwa bei gani mkuu? Hili siyo jukwaa la matangazo. Mkuu au baba ako ni muairtel?
niliona ile nguo yenye nembo ya nazi aliyokuwa amevaa yule sijui dj wa kipindi nimekisahau jina sijui fnl, nilishangaa sana ilikuwaje kuvaa nguo ile na kuwa hewani kwenye tv na airtel ndio walikuwa wamedhamini show. anyway ndio kidunia dunia ya 3 , ingekuwa kwa dunia za kwanza tayari ingeshakuwa gumzo kubwa sana.
Si hivyo tu, upande wa data ni hovyo kabisa. Nilijaribu kuitumia hata kusoma JF nikashindwa. Ni slow kuliko maelezo, sijui kama ni sehemu zote au ni huku niliko.
Sijawahi kuibahatisha 3g airtel. Labda tatizo ni huku porini ninakoishi.tuongee ukweli bila hiyana airel speed wanajitahid sasa, mimi huwa naangalia mpira ligi ya uingereza na uefa kutoka kwenye internet kwa pc/laptop na ninaangalia mpira mpaka unaisha sometimes without even a single scratch.
ila ukweli speed kwenye simu inazingua kidogo inakuwa edge muda mwingi 3g mara chache, lakini laini ukiweka kwenye modem inasoma vizuri 3g/wcdma na hapo ndipo inakuwa speed nzuri , wakati mwingine down speed inafika hadi 1mbps/2mbps/3mbps .
Inaonekana kuna mabadiliko fulani kwenye hii industry. Vifurushi vya flat tariff nimeanza kuvisikia Voda. Ni vizuri sana, hasa kwa sisi watumiaji. Ila nina uhakika Tigo wanakuja kufunika na kali zaidi ya zote. Hata hivyo inabidi ajipange. Kwa hivi vifurushi vya flat tariff, mwenye wide coverage ndiyo atakuwa na nguvu zaidi.