Sio kweli mkuu Airtel wako vizuri saana hasa kwenye internet, sasatel ndio kimeo hakuna mfanoKwa kweli mtandao wa internet kwa bundle yoyote utakayochagua ni wizi mtupu:
Weka hata Tsh 15,000/- ndani ya saa 1 imeisha - download kidogo - only browsing.
weka 400MB kwa tsh 2,500 bado mbaya.
Kweli hawa jamaa wameamua kutuibia. Bora sasatel kwa DSM ile ukienda mkoani lazima Airtel et al wakubane tu.
TCRA mnaregulate nini?
Sasatel hao ndo wangese kabisa wala usiwape promo. Wiki juzi tu nimetupa kamodem kao mshenzi, unalipia bundle halafu mtandao hamna, si usiku si mchana mpaka bundle ina-expire.Kwa kweli mtandao wa internet kwa bundle yoyote utakayochagua ni wizi mtupu:
Weka hata Tsh 15,000/- ndani ya saa 1 imeisha - download kidogo - only browsing.
weka 400MB kwa tsh 2,500 bado mbaya.
Kweli hawa jamaa wameamua kutuibia. Bora sasatel kwa DSM ile ukienda mkoani lazima Airtel et al wakubane tu.
TCRA mnaregulate nini?
Kwa kweli mtandao wa internet kwa bundle yoyote utakayochagua ni wizi mtupu:
Weka hata Tsh 15,000/- ndani ya saa 1 imeisha - download kidogo - only browsing.
weka 400MB kwa tsh 2,500 bado mbaya.
Kweli hawa jamaa wameamua kutuibia. Bora sasatel kwa DSM ile ukienda mkoani lazima Airtel et al wakubane tu.
TCRA mnaregulate nini?
Unajisikiaje baada ya kuongea uwongo na kila mtu anakupinga? Msikilize Rose Mhando, JIPANGE SAWASAWA. Kama ni lazima uanzishe thread basi iwe ya kweli na si kufuka moshi kama wa kuni mbichi.Kwa kweli mtandao wa internet kwa bundle yoyote utakayochagua ni wizi mtupu:
Weka hata Tsh 15,000/- ndani ya saa 1 imeisha - download kidogo - only browsing.
weka 400MB kwa tsh 2,500 bado mbaya.
Kweli hawa jamaa wameamua kutuibia. Bora sasatel kwa DSM ile ukienda mkoani lazima Airtel et al wakubane tu.
TCRA mnaregulate nini?
kuwa muangalifu na unachokiangalia kwenye internet kama unanunua data bundle...epuka sana kuangalia sites zenye mapicha mengi ya size kubwa, acha ku download online video clips etc maana kwa jinsi mimi ninavyoona ni kwamba kila kilobyte/megabyte unayo download inaondoa kilobyte/megabyte kwenye data bundle uliyonunua...mfano mimi natumia modem ya vodacom na huwa mara nyingi nanunua data bundle ya 20mb na kuitumia masaa mengi tu kama nikiangalia jamii forums kwa sababu mambo mengi hapa jf ni text tu lakini 20mb hiyo hiyo nikiitumia kuangalia blog ya michuzi haifiki dakika mbili inakuwa imekwisha kwa sababu ya hayo mapicha na mambo mengine walioleza wadau...!Kwa kweli mtandao wa internet kwa bundle yoyote utakayochagua ni wizi mtupu:
Weka hata Tsh 15,000/- ndani ya saa 1 imeisha - download kidogo - only browsing.
weka 400MB kwa tsh 2,500 bado mbaya.
Kweli hawa jamaa wameamua kutuibia. Bora sasatel kwa DSM ile ukienda mkoani lazima Airtel et al wakubane tu.
TCRA mnaregulate nini?
Tafuta uongo mwingine hapa sikubaliani na wewe hata unipige kitanzi!!Kwa kweli mtandao wa internet kwa bundle yoyote utakayochagua ni wizi mtupu: