Wakuu kama ilivyo kuwa mtandao ambao ulikuwa na gharama nafuu za vifurushi vya mitandao ni Airtel pekee na kwa sababu hiyo walipata wateja wengi sana hadi hivi karibuni kasi yao ya internet kuwa na speed ndogo.
Sasa leo naona wamepandisha vifurushi vyao kwa takribani 30% na 50% kulingana na kifurushi usika. Mfano kile cha huku mfano kile cha wiki kwa tsh 1000 ni sh 2000 na wakiongeza hapo MB 224 tu na kuwa 1gb toka 800Mb

View attachment 246326
Kwa sisi matomaso hadi tumeenda thibitisha...:lol:
Wahusika wa kubwa ni TCRA ambao nahc wamelala....acha hawa jamaa waendelee kutunyonya mpaka TCRA watakapo amka.Hivi makampuni ya simu huwa hakuna taasisi inayohusika kudhibiti bei za Huduma zao?..Ingekuwa daladala ikaongezwa hata sh 50 kwenye bei ya zamani sidhani kama lingekubalika kirahisi. Hawa watu wanajinufaisha wanavyotaka bila kujali consumer anaumia kiasi gani. Anyway tutanunua tu but kupandisha bei ya kitu kwa 50% sio fair.
Hii mitandao ya simu mpaka sasa cjaelewa lengo lao ni nn hasa...maan mpaka tigo wamepunguza MB kwenye university offer..Wakuu kama ilivyo kuwa mtandao ambao ulikuwa na gharama nafuu za vifurushi vya mitandao ni Airtel pekee na kwa sababu hiyo walipata wateja wengi sana hadi hivi karibuni kasi yao ya internet kuwa na speed ndogo.
Sasa leo naona wamepandisha vifurushi vyao kwa takribani 30% na 50% kulingana na kifurushi usika. Mfano kile cha huku mfano kile cha wiki kwa tsh 1000 ni sh 2000 na wakiongeza hapo MB 224 tu na kuwa 1gb toka 800Mb
Kweli wameboa sana. Lakini hatuna mbadala. Kwango tigo speed ya konokono, Vodacom ndo hivyo tena! Tutatumia lakini huku tukilalama!
Wahusika wa kubwa ni TCRA ambao nahc wamelala....acha hawa jamaa waendelee kutunyonya mpaka TCRA watakapo amka.
Tutumieni tu........sasa tutatumia nini...........?......
Airtel kwenye simu siwezi kutumia, kwasabu ya overheating effect.
Nime experience toka nipo Symbian mpaka leo hii Android.
TCRA ipi? Ile ya akina Innocent Mungy ambao wanalipiwa na hayo makampuni ya nje kwenye Safari zao za dubai?