AIRTEL Vs VODACOM

Hakuna utata..mbona before walikuwa na rangi ya blue so as tigo...nafikiri watakuwa wameingia mkataba na vodafone.

vodacom inatokea S.Africa na vodacom S.A imeingia ubia na Vodafone Uk na na vodafone uk ndo wana share kubwa so vodacom imelazimika kubadili rangi. So mi naona hawajaiga rangi!!!
 
Kuna wale jamaa wanashuka kwenye kigari cha Blue(Voda) wanapanda kwenye Basi Jekundu(Airtel). Sijui hili tangazo tulibadili?
kile cha blue ni Tigo we huoni hata yule manywele wa thumni akabaki anashangaa
 
Tunataka thumni kwa dakika tatu kwa kila mtandao masaa 24. tika Che:whoo:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…