Hapo ndipo utata mtupu,mana haikupita muda na wao wakaja na rangi nyekundu na bajaj kama "Limousine"kweli biashara matangazo!Kuna wale jamaa wanashuka kwenye kigari cha Blue(Voda) wanapanda kwenye Basi Jekundu(Airtel). Sijui hili tangazo tulibadili?
Kuna wale jamaa wanashuka kwenye kigari cha Blue(Voda) wanapanda kwenye Basi Jekundu(Airtel). Sijui hili tangazo tulibadili?
Teh Teh Teh duh!nilikuwa sijaelewa pale kumbe yule manywele waliomuweka ndio wakule Tigo aisee airtel kwa vijembe utafikiri wana Taarabu!yaani wewe ndio hulielewi kabisa lile tangazo. voda huwa kwenye matangazo yao wana bambucha? kuanzia sasa ujue kile kigari kidogo ni Tigo na gari kubwa ni airtel. Tigo kwenye matangazo yao huwa wanamtu anakuwa na manywele kwenye lile gari dogo utamuona akitafutisha network na mwishoni watu wote wakishashuka huwa anatoka nje.
Tigo haikuwa inawaathiri sana kwani wanatumia rangi kibao kuliko voda!wewe siuliona Airtel waliingia na gia ya rangi ya njano kwenye matangazo yao pale mwanzo wakatolewa mkuku na TTCl mpaka leo hawaitumii tena!rangi zina hati miliki kumbe!Mbona Vodacom na Tiqo walikuwa wanatumia rangi ya bluu halikusemwa jambo?
Kuna wale jamaa wanashuka kwenye kigari cha Blue(Voda) wanapanda kwenye Basi Jekundu(Airtel). Sijui hili tangazo tulibadili?
yaani wananiboa mieeee.... hawana tofauti na wanaotongoza wake za watu. badala ya kutafuta vitu fresh wao wamekazanaBinafsi nimekua nikiipenda sana voda na ninayo muda mrefu sana na mpaka leo its my first choice bado...lakini utaratibu wa kubadilisha rangi kwakweli bado sijauelewa sijui kwanini lakini hata ukiangalia rangi yao ya zamani was very nice tofauti na sasa..! halafu matangazo ya simu sasa hivi hata mvuto hayana, mara watuwekee vikatuni vya ajabuajabu rangi zenyewe muingiliano hata hujui hii tigo,airtel au vodacom...wengine ndio wamekazana na hamia kwetu, yani vagalanti...mwe!
Kuna wale jamaa wanashuka kwenye kigari cha Blue(Voda) wanapanda kwenye Basi Jekundu(Airtel). Sijui hili tangazo tulibadili?