boyayoparuparu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 343
- 82
Hawa Airtel Tanzania, ni kampuni nyonyaji kwenye tangazo lao linalo endelelea siku hizi wanasema wanajali pesa za wanao tumia huduma ya airtel money, kwa ujumla eti wanajali pesa ya mteja, jambo ambalo sio kweli.
Hebu fikiria unapo wapigia simu kuwaambia tatizo flani lililojitokeza, kwanza simu inaita muda mrefu huku ukiambiwa kuwa usubiri utapokelewa baada ya muda mrefu ukipata bahati ya kupokelewa, unaanza unaeleza tatizo mara simu inakatika.
Wakati mwingine unakuwa bado haujapatiwa ufumbuzi wa suala lako, ukipiga tena unaambiwa simu yako itakatwa sh sitini, hizo sh sitini mnazozikakata ni kwaajili gani, hivi mtu ukuwa na land line ukawa na exintantion chumbani, unapotaka kupiga simu sebuleni ukiwa chumbani unailipia?
Acheni dhuluma hii, shida zinazo tokea tunapoziwasilisha kwenu nikwa faida yenu iweje tena mtutoze pesa.