akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,736
- 1,100
Hivi dakika zenu zina sekunde ngapi?. Mbona nikijiunga na Yatosha then nikiongea kwa dakika kadhaa , mathalani 5, napata msg "umetumia sekunde 1000 kutoka kwenye chako cha yatosha" ...please nijulisheni hili.