Airtel ni baba lao

We upo kimanzichana kwa babu unategemea speed iwe kama walio mjini?
Wewe ndiye uliyeko huko ulikokutaja. Ndio maana hujui hata spidi ya net ni nini. Sizungumzii hicho unachoweza ku surf kutumia kiji Nokia tochi au ki Samsung cha inchi mbili. Nazungumzia serious web usage
 
2000/- only per week nachart, piga cm mitandao yote na Mb za kutosha! tiGo tupa kule!
 
  • Kimsingi speed ya internet inategemeana na eneo ulilopo.
  • Yaweza kuwa hapo kwako ni very slow lakini kwa mwingine anakwambia hakuna mtandao mwengine wenye kasi kama huu.

upo sahihi kabisa, mie naitumia hapa nilipo inapiga kazi kama punda. baba lao kweli.
 
Wewe ndiye uliyeko huko ulikokutaja. Ndio maana hujui hata spidi ya net ni nini. Sizungumzii hicho unachoweza ku surf kutumia kiji Nokia tochi au ki Samsung cha inchi mbili. Nazungumzia serious web usage

Sasa serious ndio utegemee internet za simu ya mkononi? Inaonekana we ni mshamba kwenye haya mambo bora tu ukae kimya,angalia kwenye hii thread yote wangapi wamekubali speed ya net ya Airtel halafu urudi tena kucomment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…